Monday, May 29, 2023

SIkukuu ya Pentekoste GHC 2023. NENO LA MUNGU LINASEMA. Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote.

No comments:

Post a Comment